
Sambaza habari hii Facebook
Sambaza habari hii Twitter
Mshirikishe mwenzako
Haki miliki ya pichaAFPImage captionRaila Odinga
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo.
Bwana Odinga amesema kuwa anataka kuwepo mikakati ya kisheria na kikatiba inayohitajika, kabla ya yeye kukubali...