Uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania umekamilika ambapo shirikisho hilo limepata wajumbe wake watendaji, makamu mpya wa rais pamoja na rais mpya wa shirikisho hilo la soka.
Walioshinda katika nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji wa shirikisho hilo maarufu kwa jina la TFF ni hawa hapa:
Kanda Namba 13 (Dar es Salaam)
Mshindi ni Lameck Nyambaya
Kanda namba 12 Kilimanjaro na Tanga
Mshindi ni Khalid Andallah
Kanda No 11 Pwani na Morogoro
Francis ni Ndulane ameshinda
Kanda Namba 10 (Dodoma na Singida)
Mshindi: Mohamed Abeid
Kanda Namba 9 (Lindi na Mtwara)
Mshindi: Dunstan Mkundi
Kanda namba 8 (Njombe na Ruvuma)
Mshindi: James Mhagama
Kanda namba 7 (Mbeya na Iringa)
Mshindi: Elias Mwanjala
Kanda Namba 6 (Katavi na Rukwa)
Kenneth Pesambili
Kanda namba 5 (Kigoma na Tabora)
Issa Bukuku
Kanda namba 4 (Arusha na Manyara)
Mshindi: Sarah Chao
Kanda namba 3 (Shinyanga, Simiyu)
Mshindi: Mbasha Matutu
Kanda namba 2 (Mara, Mwanza)
Mshindi: Vedastus Lufano
Kanda namba 1 (Kagera, Geita)
Mshindi: Salum Chama
Makamu wa Rais
Michael Wambura
NAFASI YA RAIS
Wallace Karia
0 comments:
POST A COMMENT