TIZAMA VIDEO MPYA HE WIMBO WA ROMA NA STAMINA - HIVI AMA VILE
Baada ya kudondosha Audio yao ya ‘Hivi ama vile’ Rostam yaani Roma Mkatoliki na Stamina tayari wametuletea na video yao…hii hapa itazame kwa dakika 3 na usisahau kuniachia comment baada ya kuenjoy!!!
0 comments:
POST A COMMENT