Barcelona wameendelea kushikilia uhamisho wa Neymar wakitaka kulipwa chao.
Tayari PSG imeanza Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama League 1 lakini Neymar hakucheza.
Barcelona imesisitiza, itaachia uhamisho baada ya kuwa imelipwa chake.
Neymar amejiunga na PSG kwa kitita cha pauni milioni 198 na kuweka rekodi mpya ya usajili duniani.
0 comments:
POST A COMMENT