Leo kwa mara ya kwanza umefanyika uzinduzi mashindano ya Ndondo Cup 2017 kwa Jiji la Mwanza, Mashindano yanatarajiwa kuanza rasmi September 09, yatajumusha timu 16 kutoka Mwanza.
Kwa kawaida michuano ya Ndondo Cupambayo inaandaliwa na Clouds Media Group ni michuano ambayo inalenga kuwainua vijana wanaocheza soka la mchangani lakini pia inawapa nafasi ya kucheza na wachezaji baadhi wa Ligi Kuu Tanzania ikiwa ni sehemu ya kujifunza.
0 comments:
POST A COMMENT