Lipuli ya Iringa imemsajili kiungo wa zamani wa Yanga, Omega Seme. Seme aliwahi kuichezea Yanga kabla ya kutua Ndanda FC ya Mtwara. Leo amekamilisha usajili wake wa mwaka mmoja kuichezea Lipuli ya Iringa.
0 comments:
POST A COMMENT