LWANDAMINA AMPA TIZI LA KIPEKEE AJIBU, MWENYEWE ASIFIA NA KUNENA | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Saturday, July 29, 2017

LWANDAMINA AMPA TIZI LA KIPEKEE AJIBU, MWENYEWE ASIFIA NA KUNENA



Kocha George ‘Chicken” Lwandamina ameamua kumpa mazoezi ya ziada mshambuliaji wake mpya, Ibrahim Ajib.

Lwandamina ameamua kuhakikisha Ajibu anakuwa fiti katika kiwango kinachoweza kumfanya atimize majukumu atakayompa.

"Lwandamina amegundua Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji sana lakini hayuko fiti kama anavyotaka, hivyo ameamua kulifanyia kazi hilo," kilieleza chanzo.

Yanga ipo kambini mjini Morogoro ambako inajiandaa na msimu mpya wa 2017-18.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT