Salim Mbonde na Muzamiru Yassin ni kati ya wachezaji wa Simba walioanza mazoezi na kikosi hicho.
Samba ipo kambini jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikijiandaa na msimu mpya.
Mbonde pamoja na Muzamiru wamejiunga na kikosi hicho wakiongozana na Shiza Kichuya na John Bocco baada ya kuwa wamemaliza majukumu ya kuitumikia Taifa Stars katika michuano ya kuwania kucheza Chan ambayo wametolewa na Rwanda.
0 comments:
POST A COMMENT