Papy Kabamba Tshishimbi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga.
Kiungo huyo mkabaji raia wa DR Congo, amesaini mkataba huo leo baada ya kufuzu vipimo jana jijini Dar es Salaam.
Kabla ya kutua Yanga, Tshishimbi alikuwa akikipiga katika kikosi cha Mbambane Swallows cha nchini Swaziland.
0 comments:
POST A COMMENT