Mshambulizi mpya tena wa Simba, Emmanuel Okwi ameondoka Entebbe nchini Uganda kwenda Afrika Kusini akipitia Nairobi.
Okwi anakwenda Afrika Kusini kuungana na Simba katika kambi ya timu hiyo iliyo jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.
Kupitia mtandao wa Instagram, Okwi ameonyesha akiwa njiani kwenda Afrika Kusini.
0 comments:
POST A COMMENT