KUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU KUWAHUSU AVEVA NA KABURU | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Monday, July 31, 2017

KUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU KUWAHUSU AVEVA NA KABURU

Kesi ya utatatishaji fedha inayowakabiri Rais wa Simva, Evans Aveva na makamu Geofrey Nyange ‘Kaburu’ itasikilizwa tena Agost 7, mwaka huu.


Aveva na Kaburu walifikishwa leo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

Mara ya mwisho, Kaburu alishindwa kufika mahakamani kutokana na kuwa mgonjwa, lakini leo alikuwepo mahakani pamoja na Aveva.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT