MTANZANIA HAPATA BAHATI ACHAGULIWA KWENDA KUCHEZA NBA | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Wednesday, July 26, 2017

MTANZANIA HAPATA BAHATI ACHAGULIWA KWENDA KUCHEZA NBA

Mtanzania Jessicar Achaguliwa Kwenda Kushiriki NBA Africa 2017.

during the 2016 NBA Basketball Without Borders (BWB) camp Day 2, in Luanda, Angola on September 1st, 2016 © Barry Aldwortht/eXpect LIFE
NBA_BWB_AfricaChama cha soka cha mpira wa kikapu Marekani (NBA) na shirikisho la mpira wa kikapu duniani (FIBA) wametangaza majina 80 ya jumla ya vijana wa kiume na wa kike wenye umri wa miaka 17 au pungufu kutoka kwenye nchi 26 za Afrika ambao watashiriki kwenye toleo la 15 la mpira wa kikapu bila mipaka kwa Afrika ikiwa ni utangulizi kabla ya mchezo wa pili wa NBA katika bara la Afrika.
Mpango wa maendeleo wa BWB, NBA na FIBA wa mchezo wa mpira wa kikapu pamoja na kuifikia jamii utafanyika siku ya Jumatano tarehe 2 August mpaka siku ya Jumamosi tarehe 5 August katika shule ya American International School of Johannesburg huku kampuni ya Nike ikiwa mshirika mkuu. Mchezo wa NBA Africa  2017 utafanyika Aug. 5 katika uwanja wa Ticketpro Dome huko Johannesburg.
Mtanzania Jescar Julius Ngiaise ni mmoja kati ya wasichana 23 bora waliochaguliwa kuwepo kwenye program hii ya basketball without boarders (BWB) ambayo imewasaidia wachezaji wengi kufika kwenye NBA na WNBA.
GIRLS ROSTER:

Last NameFirst NameCountry
SaadaouiMeriemAlgeria
ZongoFaridaBurkina Faso
MatagaClaudia MariaCameroon
MerveilleNkoyockCameroon
KevineKabongoDemocratic Republic of the Congo
KabaDeborahDemocratic Republic of the Congo
MetwallyBatoulEgypt
NdutaCaroline NjeriKenya
DemAdama SadouMali
NiagaleBollyMali
DiawaraDjessiraMali
BudaneCarlaMozambique
GomesEsterMozambique
MwokoMarvelous Adaku VictorNigeria
IkidiTenaNigeria
JohnPreciousNigeria
FamaNdeyeSenegal
GueyeSabouSenegal
ThiamFatouSenegal
CupedoMonikaSouth Africa
RamorwesiKeatlegileSouth Africa
NgiaiseJescar JuliusTanzania
VikiLopezZimbabwe

BOYS ROSTER:

Last NameFirst NameCountry
SouiciZine EddineAlgeria
YazizaineAdelAlgeria
TungoMalcom Diacivi AugustoAngola
DossouJean Fabrice GiovanniBenin
LompoTeligaba Cedric JudicaelBurkina Faso
DinanouOusmanCameroon
Koloko KamdenChristian JuniorCameroon
Pemboura TchatchouaCamileCameroon
Gomes BritoAniel PatrickCape Verde
WegscheiderKurt-CurryCentral Africa Republic
OfoundzoukouAndrea Narly ExauceCongo
BoteyJoseph AbelDemocratic Republic of the Congo
ElukuBerthold NongoDemocratic Republic of the Congo
TshilumbaFabriceDemocratic Republic of the Congo
AbdelmagedAbdelrahman SamirEgypt
ElalfyOmar NabilEgypt
ElnahalAbdallah MohamedEgypt
KhalifaAly AbdelrahamanEgypt
MoustafaAhmed IbrahimEgypt
RobiBiruk DegefaEthiopia
TafereLeul BrhaneEthiopia
Kitson QuashieJojoGhana
HawmmondSydney NguessanIvory Coast
KoffiGilles Edouard N’guessanIvory Coast
OuattatraKolognin Josaphat HannielIvory Coast
OtienoPaul TemboKenya
DrameFousseyniMali
DrameHassanMali
SanogoModiboMali
AkouassAnassMorocco
AzzouziMohamedMorocco
ChavaneEdson Zacarias ZaqueuMozambique
AjadiIbrahimNigeria
IghoefeMudiaga TimothyNigeria
EgbejioguChukwudalu CalistusNigeria
IgboechiObinna CyrilNigeria
JohnAmeh PetersNigeria
OduahUchuechukwi EmmanuelNigeria
NkundwaThieryRwanda
BoissyJean JacquesSenegal
DiagneFallouSenegal
DiopSaliou NdoyeSenegal
FayeBiramSenegal
SahkoAlySenegal
SeyeMadiorSenegal
ThiamPapa Malick MactarSenegal
MongweMisavaSouth Africa
DitshekoGoitsemang BrainSouth Africa
VincentJordiqueSouth Africa
BachtaChokriTunisia
HantousMohamed AbdelazizTunisia
MhemliHoussemTunisia
ToumiYacineTunisia
YahyaouiAyoubTunisia
FayedBaaleUganda
MakayiMichel MisheckZambia
MukwevaCharlesZimbabwe

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT