Kiungo mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva ametambulishwa rasmi na klabu yake mpya Difaa Hassani El Jadidi ya Morocco baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia klabu hiyo.
Msuva aliondoka Dar es Salaam Julai 26, 2017 kwenda Morocco ambako atakuwa na mtanzania mwingine Ramadhani Singano ‘Messi’ ambaye yeye alifika Morocco mapema kuliko Msuva aliyekuwa na majukumu kwenye timu ya taifa.
0 comments:
POST A COMMENT