Mtoto wa nyota wa zamani wa Barcelona na Ajax, Patrick Kluivert a’mekuwa mwanamichezo mdogo zaidi kupata mkataba na kampuni ya mavazi kama Nike.
Shane Kluivert anayecheza Paris Saint-Germain ameingia mkataba wa kuvaa Nike akiwa na miaka tisa.
Baba yake, yaani Kluivert ndiye amechangia katokana na kumtupia mwanaye mtandaoni mara mara akionyesha kipaji chake na kadhalika.
Hali hiyo imechangia kuwavutia wadhamini hao.
0 comments:
POST A COMMENT