NGOMA NA RAFAEL DAUD WATIA FOLA MAZOEZI YA YANGA LEO | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Monday, July 31, 2017

NGOMA NA RAFAEL DAUD WATIA FOLA MAZOEZI YA YANGA LEO




Raphael Daud ambaye ametua Yanga akitokea Mbeya City ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho mjini Morogoro.

Pamoja na kuanza mazoezi, Aplha, mshambulizi Donald Ngoma wa Yanga ameanza mazoezi pia kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.



google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT