Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga. Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la makipa watatu wa Yanga.
0 comments:
POST A COMMENT