ZIJUE KANUNI MPYA ZA TFF ZILIZOFANYIWA MAREKEBISHO NA BODI YA LIGI JE TIMU YAKO ITAZIMUDU | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Monday, July 31, 2017

ZIJUE KANUNI MPYA ZA TFF ZILIZOFANYIWA MAREKEBISHO NA BODI YA LIGI JE TIMU YAKO ITAZIMUDU

Tukiwa tunaelekea kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 Shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kamati ya Bodi ya Ligi leo afisa habari wa TFF Alfred Lucasametangaza mabadiliko ya kanuni nane ambazo zimefanyiwa mabadiliko baada ya kamati ya Bodi ya Ligi kukutana na viongozi wa vilabu.
>>>”Bodi ya Ligi ilikutana na club wiki iliyopita na ilipokutana na club kuna mapendekezo ya kanuni za Ligi Kuu Tanzania kwa haraka haraka kanuni zilizoguswa zaidi ni kanuni ya 18 inayohusu Bima kwa wachezaji, kila club inatakiwa kuwawekea Bima wachezaji wake la sivyo hawawezi kupata leseni.” – Alfred Lucas.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT