Timu ya Prisons Ya Mbeya Ikicheza katika Uwanja wake wa Nyumbani wa Sokoine imeifunga Yanga B bao 3 kwa 1, kwenye Mashindano yaliyoandaliwa kwaajili ya KUCHANGIA mfuko wa Ukimwi (TACAIDS CUP).
Ushindi huo ndugu msomaji wa Kwata Unit Blog umewafanya Prisons kuwa Mabingwa wa Michuano Hiyo iliyoshirikisha Prisons,Mbeya City ,Yanga B Na Simba B. Kwa Habari za Mich
0 comments:
POST A COMMENT