ABDI BANDA AVAMIA KAMBI YA SIMBA LEO | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Friday, July 28, 2017

ABDI BANDA AVAMIA KAMBI YA SIMBA LEO

Beki Abdi Banda ametembelea kambi ya Simba jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

Banda ameondoka Simba na kujiunga Baroka FC ya Ligi Kuu Afrika Kusini.


Lakini leo Banda ametua mazoezini walipo wachezaji wa Simba na kupata nafasi ya kuzungumza na makocha pamoja na wachezaji ikiwa ni pamoja na kuwaaga baadhi yao.



google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT