Kiungo kiraka wa Mbao FC, Asante Kwasi raia wa Ghana ametua Lipuli ya Iringa. Kwasi amesaini kuichezea Lipuli kwa miaka miwili. Lupuli imeanza kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao ikiwa ndiyo imepanda Ligi Kuu Bara ikitokea daraja la kwanza.
0 comments:
POST A COMMENT