KRC Genk imepata sare ya mabao 3-3 ikiwa nyumbani dhidi ya wageni Waasland-Beveren.
Mshambulizi Mtanzania, Mbwana Samatta amefunga bao la pili ambalo lilikuwa la kusawazisha.
Wageni Waasland-Beveren walipata mabao mawili ya harakaharaka na kuongoza kwa 2-0.
0 comments:
POST A COMMENT