NGOMA KASHAFIKA KUJIUNGA NA WENZIE KAMBI YA MORO KUMSUBIRI MNYAMA WA MSIMBAZI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Sunday, July 30, 2017

NGOMA KASHAFIKA KUJIUNGA NA WENZIE KAMBI YA MORO KUMSUBIRI MNYAMA WA MSIMBAZI


Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma tayari amejiunga na wenzake kambini mjini Morogoro.

Ngoma ametua nchini jana na leo amejiunga na wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

Ngoma alirejea kwao Zimbabwe mara baada ya kumalizana na Yanga na kuongeza mkataba mpya akiwanyamazisha Simba ambao walikuwa wamefanya mazungumzo naye na kufikia makubaliano kwa asilimia 99.


Mshambulizi huyo ataanza mazoezi na wenzake kesho asubuhi na Yanga imekuwa ikiendelea kujifua kwa nguvu.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT