Bi Mugabe amtaka mumewe kumtangaza mrithi | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Thursday, July 27, 2017

Bi Mugabe amtaka mumewe kumtangaza mrithi

Bi Mugabe amtaka mumewe kumtangaza mrithi 

Rais Mugabe na mkewe bi Grace MugabeHaki miliki ya pichaAFP
Image captionRais Mugabe na mkewe bi Grace Mugabe
Rais wa Zimabwe ametakiwa na mkewe kumtaja ''mrithi'' wake ili kupunguza migawanyiko kuhusu mtu atakayemrithi.
''Rais hafai kuwa mwoga kumchagua mrithi wake na neno alke litakuwa la mwisho'',alisema bi Grace Mugabe.
Bwana Mugabe ndio kiongozi mzee zaidi na chama chake cha ZANU PF kimemchagua kuwania urais kwa mara nyengine mwaka ujao.
Lakini makundi pinzani yamekuwa yakiwania urais ili kuimarisha uwezo wao huku kukiwa na wasiwasi kuhusu hali yake ya kiafya.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT