OKWI AFANYA KWELI MAZOEZI YAKE YA KWANZA TU OMOGI AMKUBALI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Saturday, July 29, 2017

OKWI AFANYA KWELI MAZOEZI YAKE YA KWANZA TU OMOGI AMKUBALI

Mshambuliaji Emmanuel Okwi, ametua katika kambi ya Simba nchini Afrika Kusini na leo asubuhi ameanza mazoezi.


Okwi ameanza mazoezi na wenzake katika kambi ya timu hiyo jijini Johannesburg, Afrika Kusini.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT