Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wanaondoka leo kwenda mjini Morogoro.
Yanga ilianza kujiandaa jijini Dar es Salaam kwa mazoezi mepesi kabla ya kuingia gym.
Lakini leo, timu hiyo inaingia kambini rasmi kwenda kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao.
0 comments:
POST A COMMENT