Klabu ya soka ya man city imeibamiza Tottenham mabao 3-0 mabao ya city yalifungwa na john stone (10) sterling dk (72) brahimu diaz (91), uku wapinzani wa jadi wa hispania Barcelona wakiibamiza real madrid kwa bao 3-2 magoli ya barca yalifungwa na messi (3) rakitic (7) pique (50) wakati magori ya Madrid yamefungwa na kovacic (14) asensio (36)
0 comments:
POST A COMMENT