GYAN (KUSHOTO) AKIWA NA KAIMU MAKAMU RAIS WA SIMBA, IDDI KAJUNA. |
Mshambuliaji mpya wa Simba, Nicolas Gyan tayari yuko nchini kujiunga na timu hiyo.
Gyan amefika siku dirisha la usajili linafungwa na atatambulishwa rasmi kesho kwenye Tamasha la Simba Day jijini Dar es Salaam.
Mshambulizi huyo anakuja nchini kujiunga na Simba ikionekana ni kuziba nafasi ya Frederic Blagnon ambaye mwishoni mwa msimu uliopita alionyesha cheche baada ya kuwa amedorora mwanzoni.
0 comments:
POST A COMMENT