Michelle Katsvairo wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ametua nchini tayari kuanza kuichezea Singida United.
Mshambulizi huyo ataichezea Singida United kwa mkopo ikiwa ni baada ya klabu hizo mbili kukubaliana.
Alipokelewa kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) na uongozi wa Singida United.
0 comments:
POST A COMMENT