Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu baada ya kuwasli kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Dk. John Magufuli uliofanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mwanasha Tumbo
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu akisalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu akisalimia wakati wa mkutano huo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akienda jukwaani kusalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Rais Dk Magufuli
Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo
Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akisalimia kwenye mkutano huo
Rais Dk John Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo
Mbunge wa Muheza Adadi Rajab akizungumza wakati wa mkutano huo mbele ya Rais Dk Magufuli
Rais Dk Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo
Kinana akifuatana na viongozi wa CCm mkoa wa Tanga kumsikiliza Rais Nagufuli alipozungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika eneo la Pongwe
Kinana na baadhi ya viongozi wa CCM wakimsikiliza Rais Magufuli katika eneo la Pongwe
0 comments:
POST A COMMENT