RUBANI AFARIKI AKIRUSHA NDEGE MONDULI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Thursday, August 10, 2017

RUBANI AFARIKI AKIRUSHA NDEGE MONDULI



Rubani wa Ndege ya Kampuni ya Safari Air Link DH-SAL aina ya Cessna 206 ambayo ina uwezo wa kubeba abiria watano amefariki baada ya ndege aliyokua anairusha kuanguka katika maeneo ya Monduli, Arusha.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo amesema Rubani huyo aliyetambulika kwa jina la David Mbale alikuwa akiruka kuelekea Serengeti kwa ajili kuchukua wageni. Jeshi la Polisi bado linaendelea kuchunguza chanzo cha ajali hiyo.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT