HAJI MANARA ATOA NENO KWA AJIBU NA KUMWAMBIA MANENO HAYA | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Wednesday, August 9, 2017

HAJI MANARA ATOA NENO KWA AJIBU NA KUMWAMBIA MANENO HAYA


Haji Manara
Tumewahi kuona wachezaji kadhaa wakikutana na wakati mgumu pale watakapokutana na timu zao za zamani wakiwa wamevaa jezi za timu pinzani lakini afisa habari wa Simba Haji Manara ametumia ukurasa wake wa instagram kumuandikia ujumbe mzuri na busara Ajib.
Alichokiandika Haji Manara kwa Ajib kupitia instagram account yake
“Najua nini unamiss dogo ila kafanye kazi hapa ni home,anytime!!umeondoka bila maneno ya hovyo,umetuheshimu na sisi tutakupa heshima yako na kuhakikishia hutasumbuliwa na fan yoyote wa Simba,,ustaarabu upo nyoyoni mwetu @ibrahimajibu23>>> Manara

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT