Mwanariadha mtanzania Felix Simbu amerudi kwenye headlines akiwa London katika mbio za marathon baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwa kukimbia saa 2, dakika 9 na sekunde 57 wakati mkenya Godfrey Kirui kamaliza nafasi ya kwanza nafasi ya pili ikienda Ethiopia.
Mtanzania Alphonce Simbu amepata ushindi wa nafasi ya 3 kwenye mbio ndefu za marathon ktk mashindano ya riadha ya dunia London Uingereza. pic.twitter.com/0OWqXHyZ17
0 comments:
POST A COMMENT