MASTAA HAWA WA YANGA WOTE KUANZA MECHI YAO NA SIMBA | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Tuesday, August 15, 2017

MASTAA HAWA WA YANGA WOTE KUANZA MECHI YAO NA SIMBA





Wachezaji watatu Donald Ngoma, Ibrahim Ajibu na Amissi Tambwe wataanza katika mechi dhidi ya Simba.

Katika mazoezi ya Yanga mjini hapa, Kocha George Lwandamina amekuwa akiwapanga mara kadhaa kuhakikisha watengeneza umoja unaozalisha.

Hali hiyo inaonyesha washambulizi hao watatu wa aina tofauti, wataanza katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, wikiendi hii.


Yanga ipo kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT