MSUVA AUNGANA NA MASTAA WENGINE KUTAMBULISHA JEZI ZAO | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Wednesday, August 9, 2017

MSUVA AUNGANA NA MASTAA WENGINE KUTAMBULISHA JEZI ZAO




Mtanzania Simon Msuva alikuwa mmoja wa Watanzania waliopata nafasi ya kutambulisha jezi za ugenini za klabu ya Difaa Al Jadid ya Morocco.

Mtanzania huyo aliungana na wachezaji wengine wawili kufanya utambulisho huo akionekana kuwa ni sehemu ya chaguo.



Msuva amesaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Difaa Al Jadid, akitokea kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania, Yanga.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT