MKE WA ROMA AFUNGUKA KUHUSU WIMBO MPYA WA MUMEWE | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Friday, August 11, 2017

MKE WA ROMA AFUNGUKA KUHUSU WIMBO MPYA WA MUMEWE


Mke wa Roma Mkatoliki ameingia kwenye headlines baada ya kuachia single mpya ya Roma iitwayo Zimbabwe lakini pia kafunguka kuhusu majeraha ya Roma baada ya kutekwa na alivyoishi kwa kutokuwa naye kwa siku kadhaa za kuwa kusikojulikana.
>>>”Kama umemfuatilia Roma aliamua kuachana na nyimbo za harakati kabisa akawa anaimba vitu vya tofauti. Huu wimbo ameimba kwa sasabu ya tukio lililomkuta kama hadithi yake ili mashabiki wake wapate picha halisi kama anasimulia. Hii ya sasa hivi hajaimba siasa zaidi ya kuongelea vitu vyake vilivyohusika katika tukio lake.” – Mke wa ROMA Mkatoliki
.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT