Hii inawezekana ikawa ni kali nyingine ambayo haukuwa umewahi kuisikia kwamba klabu ya Manchester United iliahirisha kumsainisha kiungo Isico anayekipiga Madrid kwa sasa baada ya kuona kichwa chake ni kikubwa sana ukilinganisha na mwili wake.
Isco ndiye aliyefunga bao zuri la ushindi wakati Madrid ikiishinda Man United katika mechi ya fainali ya Uefa Super Cup. Madrid ilishinda kwa mambo 2-1 na kubeba ubingwa.
Tukio la kushindwa kumsainisha lilitokea mwaka 2013 baada ya madaktari wa Man United kubainisha hilo baada ya vipimo vyao
0 comments:
POST A COMMENT