MANJI AMKATAA KIBATALA MAHAKAMANI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Monday, August 7, 2017

MANJI AMKATAA KIBATALA MAHAKAMANI



Mpaka sasa unatakiwa kufahamu kwamba Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya dhamana yaliyowasilishwa na Mfanyabiashara Yusuf Manji ambae anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Hata hivyo kabla ya kutupiliwa maombi hayo, Manji alisimama na kuieleza Mahakama kwamba ameamua kukataa kuendelea kuwakilishwa na Wakili Peter Kibatala kwa sababu za kisiasa.
Manji amedai alipopeleka maombi ya dhamana Mahakamani hapo alimpa maelekezo wakili Joseph Tedayo lakini alishangaa kesi ilipofika Mahakamani kwa ajili ya kisikilizwa maombi yake, akawakilishwa na wakili Peter Kibatala.
HII VIDEO HAPA CHINI INA MAELEZO KAMILI YA TAARIFA HII

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT