NIYONZIMA KUANZA MAZOEZI SIMBA HII LEO? | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Sunday, August 6, 2017

NIYONZIMA KUANZA MAZOEZI SIMBA HII LEO?






Haruna Niyonzima anaweza kuanza mazoezi ya kuitumikia Simba leo rasmi.

Niyonzima ambaye anaelezwa kutua tayari nchini usiku wa kuamkia leo, anaweza kuanza mazoezi na Simba leo jioni.

Simba itafanya mazoezi yake nchini kwa mara ya kwanza leo baada ya kurejea nchini Ikitokea Afrika Kusini ilipoweka kambi kujiandaa na msimu mpya.

Niyonzima alikuwa kwao Rwanda, hakupata nafasi ya kufanya mazoezi na kikosi hicho cha Simba ambacho kimemsajili baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT