BAADA YA NDOA YONDANI SASA AREJEA MAZOEZINI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Monday, July 24, 2017

BAADA YA NDOA YONDANI SASA AREJEA MAZOEZINI

Baada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa, beki kisiki wa Yanga, Kelvin Yondani ameanza mazoezi ya taratibu.

Yondani ameanza mazoezi taratibu kuanzia jana na leo anatarajia kuungana na wenzake katika mazoezi ya pamoja.

Beki huyo ambaye amekuwa tegemeo la Yanga katika safu ya ulinzi, amejiunga na timu hiyo jana baada ya kukamilisha shughuli zake za kufunga ndoa.

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT