KLABU YA SOKA YA YANGA YAENDELEA KUJINOA VIKALI | MABERYNEWSMEDIA
Breaking News
Loading...

Sunday, July 23, 2017

KLABU YA SOKA YA YANGA YAENDELEA KUJINOA VIKALI






Kikosi cha Yanga sasa kinahama kutoka Gym kwenda uwanjani.

Awali, chini ya Kocha George Lwandamina, Yanga walipasha misuli kwenye Uwanja wa Uhuru kabla ya kwenda kuanza mazoezi rasmi gym.

Lakini programu ya Lwandamina inaonyesha Yanga wanakwenda kuanza mazoezi uwanjani ikiwa ni kuanza rasmi kujenga mipango na mbinu.


“Ile ilikuwa ni kuimarisha miili yao, kinachofuatia sasa ni suala la kujenga kikosi na mbinu kwa ujumla,” kilieleza chanzo

google+

linkedin

0 comments:

POST A COMMENT