Manchester City imemsajili Mendy kutoka AS Monaco ya Ufaransa.
Man City imetoa pauni million 52 kumpata MEndy ambaye anakuwa beki wa tatu wa pembeni kusajiliwa na Kocha Pep Guardiola kwa ajili ya msimu ujao.
Tayari City ilikuwa imetumia pauni million 133 kusajili mabeki wa pembeni hali ambayo imekuwa ikiwashangaza wadau wengi wa soka.
0 comments:
POST A COMMENT