Picha mbalimbali katika maandalizi ya Maziko ya Mke wa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwamkyembe, Marehemu Linah
Mwakyembe nyumbani kwa marehemu Kijiji cha Ikolo, Kata ya Ikolo, Tarafa
Unyakyusa, Wilayani Kyela mkoani Mbeya.
0 comments:
POST A COMMENT