Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa mradi mkubwa wa maji toka Ziwa Tanganyika toka kwa mhandisi mshauri wa mradi huo ndugu Michael Mwamkinga

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka ziwa Tanganyika
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge, Mbunge wa Kigoma mjini Mhe. Zitto Kabwe pamoja na viongozi wengine akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa maji toka Ziwa Tanganyika
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia Mamia ya Wananchi wa Mkoa wa Kigoma katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa Bulombora Kikosi cha 821KJ.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati akiwahutubia a katika Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. PICHA NA IKULU
0 comments:
POST A COMMENT